Tupoo hapaNataka kuongea na familia ya wanakapuku wooote!!!! Kuna moja la secondary..
Shunie uwepo kwa ajili ya kuandika kumbukumbu
Nataka kuongea na familia ya wanakapuku wooote!!!! Kuna moja la secondary..
Shunie uwepo kwa ajili ya kuandika kumbukumbu
Salaam mkuu obe..karibu uongee na family, jirani nipo kama shahidi
Sisi ni wazima,Nawasalimu..
NimekujaNataka kuongea na familia ya wanakapuku wooote!!!! Kuna moja la secondary..
Shunie uwepo kwa ajili ya kuandika kumbukumbu
SawaNimekuja
Safari njemaHahahahaaaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimecheka huko nilikokuwa hadi basi.
Kuna kanisa huko south Africa wat wanakunywa beer wakati wa ibada. Kuanzia mchungaji hadi waumini.
Sass hili sio jambo la kufurahi ila mimi nimemkumbuka Shunie nikaanza kucheka tuu.
Hilo kanisa wakula Heineken tuu! Sijui wana share na heineken..
Shunie Twende zetu south basi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Siwaoni mbona..karibu uongee na family, jirani nipo kama shahidi
Anza basi kuwaambia ule mpangoTupoo hapa
HahahaWametekana kama mm na wewe
Nishatumaaa