Makapuku Forum

Ahahahhh hiyo Duh ishanikosesha mapound naona kukimbiwa kule mara paap siku ya siku kibonge cheusi hiki hapa mbele ya maka si utanikimbia wewe yaan naona kukimbiwa live
.. wacha uwoga shunie kwa wewe siwezi.. tukiacha masihara kando, hakuna kitu ntafurahi kama ikitokea siku tukaonana tu, umekuwa mshikaji mzur kwangu humu, na sio wewe tu pekee wapo kadhaa nataman kufahamiana zaidi..


Si lazima tu duu!! Twaweza kwenda home, bichi na kuchill tu.
 
Sina uwoga nawaza tu kukimbiwa mie na nilivyo na vile hupendi vibonge halaf tena cheusi hivi maka we ni msukuma mana hao nasikia wanapenda sana totoz nyeupe
 
Sina uwoga nawaza tu kukimbiwa mie na nilivyo na vile hupendi vibonge halaf tena cheusi hivi maka we ni msukuma mana hao nasikia wanapenda sana totoz nyeupe
Teh teh teh.. ni mnyamwezi, ila trust me siwez kukukimbia shunie, sina tabia hyo bi dada, ukiwa tayari karibu kigamboni

Halafu niko serious katika hili ujue.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…