Tutalala salama, maana muda wa kulala bado, wacha tucheki game..
Na usingo huu ukakikimbilie kitanda saa hizi si unatafuta kuchana shuka kwa kugalauka galauka kitandani tuu, upate kazi ya kutandika upya kabla hata hakujakucha..
Sie masingle mida yetu ni saa 7 huko.