Binamu obe kipenzi naomba nyimbo ya mauwa sama ya mainchick na nyingine ya diana ft billnass komela unajua vile nakupenda tu mie nyimbo zinifikie mimi mwenyewe shunie mimi hapa nilipo

....furahiday kweli unanipa shikamoo? Hapa imebidi niweke simu password maana kuna 'mchumba' nimemwambia mimi nina miaka ya kumaliza fomu siksi. Achana na hizi salamu za jumatatu