Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Salama mbabez wa moneytalk mambo ykoZa jioni Mrs Shululu
Salama mbabez wa moneytalk mambo ykoZa jioni Mrs Shululu
Safi tu, habari za sikukuuSalama mbabez wa moneytalk mambo yko
Hapana huo ndio ukweliNawaona tu mnavyonigeuza kama mapupu![]()
![]()
![]()
Ndio hivyo yaan siupendiAiseee
EwaaaaaShunie
Haya banaHapana huo ndio ukweli
Veep hiyo mikono kichwani tena
Sakayo amekwambia kwa mtogole ndio kwetuWapi huko?
Namtumbo au....
Huvi kigagula ni mzee mwanamke?Hahaha
Kigagula sio cha nchi hiii
Ameniambia nanjilinji bana, huko kwamtogole ni kwa akina Sky EclatSakayo amekwambia kwa mtogole ndio kwetu
Wewe na dada yako mnapenda kugunaMmmh
Eti nimepigwa butwaa jinsi ulivyonizidi kunihamu wakati mimi nakuzidiVeep hiyo mikono kichwani tena
Huyo aliyeguna hapoMe ndio sitaki hata kuuona


ni Sakayo eeh? Mmmh
SawaNdio hivyo yaan siupendi
Aisee!Haha
Karibu Namtumbo
Nakuona ujueEwaaaaa
Huko ndio kwetu
Hata mwanaumee bhanaHuvi kigagula ni mzee mwanamke?