Jmos tulivu japo nimechelewa kuweka kitu mezan ila sio mbaya make yote kayasababisha anko
Obe jana kanipigisha kwata nimechoka haswa na simu nilimsaidia kwenda nayo sehem ili ajifotoresheeee maselfiee na bibie wake mpya....na kwa ilo hawezi kuwa mdhamini kwa leo ...mkuu
koncho77 anatuletea UF