mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,477
Nilishasoma intelligence kwa mshana me siwezi na sitaki kujaribu asanteni jaman
Nenda jukwaa la intelligence huko utakutana na hizo mamboKumbe lishazungumziwa humu jf Basi Mwenye link na aiweke ili watu wafidishwe
Kwani somo lahitaji muda kuliweka hadi likaeleweka
Nenda jukwaa la intelligence huko utakutana na hizo mambo
Hapana haziniboi ila huko ndio kuna hizo mamboHahahaaaaaa
Mbona kama zinakuboa
Hahaha, ni njema aisee. Nipo hapa kwa maguNzuri kabisa, za huko kwa Trump
Hapana haziniboi ila huko ndio kuna hizo mambo
Tunataka kusikia yawakoKumbe lishazungumziwa humu jf Basi Mwenye link na aiweke ili watu wafidishwe
Kwani somo lahitaji muda kuliweka hadi likaeleweka
Bongo bahati mbaya ebu nichukue na mie huko kwa trump jamanHahaha, ni njema aisee. Nipo hapa kwa magu
Weka wataipenda mpaka uulize jaman wawekee tuIla yangu iko tofauti na ya Mshana
Je utaipenda??
Poa hbr ya kuadimikaMambo Mrs shululu!!
Hahaha...na Lee VP!Bongo bahati mbaya ebu nichukue na mie huko kwa trump jaman
Habari ya kuadimika inabidi niwaulize walionimiss,Poa hbr ya kuadimika
Kwa Trump nako hakuna unafuu wo wote. Pambana na hali yako hapa hapa !!!Bongo bahati mbaya ebu nichukue na mie huko kwa trump jaman
Weka basi mkuu tulinganishe na kulinganua?Ila yangu iko tofauti na ya Mshana
Je utaipenda??
Mzima kabisaHabari ya kuadimika inabidi niwaulize walionimiss,
Mr wako mzimaa??
Nitakuja nae jamaan lee wanguHahaha...na Lee VP!
Hapa JF utashangaa. Pengine kuna watu wenye ujuzi kuhusu hilo somo kukuzidi wewe mara sabini !!!Kumbe lishazungumziwa humu jf Basi Mwenye link na aiweke ili watu wafidishwe
Kwani somo lahitaji muda kuliweka hadi likaeleweka
Naenda kutembea tu ebu msinizibie ridhiki jamanKwa Trump nako hakuna unafuu wo wote. Pambana na hali yako hapa hapa !!!