...anko, unakimbia kuangalia maua au huyapendi maana hata mfalme Suleiman alipenda kuangalia sana maua.
Maua mazuri yapendeza kuona, yana harufu nzuri ya kupendeza, mauaaaaaaaa , mauaaaaaa, mauaaaa yapendeza kuona. Unaruhusiwa kuyanusa maua
....mpenzi wangu, mbona unahamaki mama, nikishaona basi natafuta mengine ya kuangalia. Hupendi niangalie maua, basi ngoja huku uwani tulime bustani ya maua. sitaki ugomvi na wewe maana nakupenda hadi naumwa na tiba ni wewe. Usipokuwepo natafuta tiba mbadala