Makapuku Forum

Mmh uache kumuekea mama nyimbo za kufanyia mazoezi ndio ninii tena hapo mama hatakuelewa
 
Khaa Obe mazoezi na wimbo huu nitalazwa hospitali..ni mzuri kuuangalia ..asante sana Obe..ila unamfahamu mnunuzi wa nyumba za lugumi..ni jirani yako kwa maveterani fuatilia kwa makini anajulikana pale viziriii

UBARIKIWE
 
...ha hahaha huyu bilionea bhana. Kaifanya wiki iwe nzuri sana, mia 9 itapendeza.

mazoezi hautalazwa labda kulaliwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…