Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
ilikuwa zamani...ex wangu huyoNa wewe ukiwepo au
kipi hicho na kwa nini..kama ni kuhusu husna sahau...Bhasi unachotaka kwa anko wangu utakipata
Waaaoooooo asante sana Obe.....Long timeMuziki: Huduma Kwa Mteja
...wala hata sijakosea kusema huduma kwa mteja, tunakosea sana. Ngoja kwanza, najua sijakusalimia na hii kwa sisi watu wa kastama relations tunasema hili ni kosa la kwanza kabla ya kupigwa bao. Haya nakusalimia Kapuku mwenzangu tunayeheshimiana sana, na unalijua hili. Leo niko kiprofesheno zaidi na kama ingekuwa amri yangu, ningewaajiri madalali wote ndo wawe wafanyakazi wa mbele, front officers katika maofisi haya, uhamiaji, utalii, mazingira, uwekezaji, viwanja vya ndege, elimu. yaani kila mahali, maana madalali hata kama hamjuani atafanya ujisikie mnafahamiana tangu mnasoma shule ya vidudu na mlifundishwa na mwalimu Ubuyu.
Sasa juzi nimekaa na anko wangu, katoka Kondoa- Ilangi kwenye semina, shughuli ilikuwa ya siku tatu tu, si unajua Magu kakaza vyuma lakini hajawazuia watu kukazana na ndicho kilichoendelea kwa anko, kaenda semina badala ya kuseminishwa yeye akaanza kumseminisha mseminishaji na semina imeisha wakaanza semina yao, wakaiita semenback. Kumuuliza anko ilikuwa vipi ukajisahau namna ile ukachukua maamuzi magumu, sababu aliyotoa ndo imenivuta kuandika leo. Smile, yeah, tabasamu, anko wangu kafurahishwa na tabasamu la mseminishaji na kilichotokea na kula hela yote ya semina na hata nilipomuomba aniassist akasema labda nisubiri Krisimasi.
Muziki sasa, nakupenda sana wewe Kapuku, uwepo wako hapa unalifanya jukwaa hili kuwa ni sehemu nzuri ya kutembelea shululu , Lyon Lee , husna muba , Tumosa , BlessedHope , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa Gentries , Mkushi wa kusi , Shunie , Transcend Nyagei , SHIMBA YA BUYENZE , Clkey , Sakayo , moneytalk , Tetramelyz , @shedede, Werrason , Mussolin5 , Bitoz , Jimena , eden kimario , Joseverest , dingimtoto na wewe ambaye sijakutaja jina lakini umuhimu wako hapa ni wa kipekee
Mbona MfyuuuuuuuuuuMfyuuuuuuuuu zako
Ahahahahha mama shikamoo jaman huyu baba wa kambo anapenda kuniuzi tu mieMbona Mfyuuuuuuuuuu
Za familia yangu nzuri sana shemela sijui wewe hukoNzuri kabisa shemela wangu, za familia yako
Marahaba kipenziAhahahahha mama shikamoo jaman huyu baba wa kambo anapenda kuniuzi tu mie
Ameen mamaZaburi 4:8.
8 Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, Bwana, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shalom.
USIKU MWEMA MUNGU AWABARIKI
Huku kwema kabisa shemelaZa familia yangu nzuri sana shemela sijui wewe huko
AmenZaburi 4:8.
8 Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, Bwana, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama.
Shalom.
USIKU MWEMA MUNGU AWABARIKI
......mwanao kala barafu ya ndimu, anaungua ulimi.Mbona Mfyuuuuuuuuuu
Waaaoooooo asante sana Obe.....Long time
Hivi sisi tumewakosea nini tanesco jaman♂️♂️ umeme wakirudisha kidogo unakatwa yaan naombeni kuja kwenu kucheza
Hivi sisi tumewakosea nini tanesco jaman♂️♂️ umeme wakirudisha kidogo unakatwa yaan naombeni kuja kwenu kucheza
Me mwenyewe jaman mchina anazima dakika yoyote kuanzia sasaAcha tu simu mda si mrefu inajizima yaan nawachukia tanesco
Mke mweee njoo kwetu uchaji cmuFitna ipii nimekupa mimi binamu jaman ninavyokupenda
Kheeee......mwanao kala barafu ya ndimu, anaungua ulimi.
Kwa yeyote asiyehusika: Maneno yafuatayo hapa chini kama hayakuhusu usinukuu, nitayakana sijaandika mimi, Asante kwa kusoma.
Umeshalala BH? Nakuja tuone namna ya kumsaidia.
Woooooooooozaaaaaw...yeah long time sana na ninakumiss pia.