Umedamka swalama makapuku!!
TANGAZO
Nimeonelea nitoe taarifa humu humu kapukuni's thread. Ninahitaji lorries 14 zenye uwezo wa kubeba mzigo kuanzia tani 30 na kuendelea,ziwe na kichanja/kisahani ziwe idadi ya kuanzia tano kwa usajili mmoja au zote kwa usajili mmoja. Mwenyenayo tuwasiliane kupitia e-mail hapo chini au anipm tufanye kazi.
Kwa mawasiliano zaidi:-
makondeson@gmail.com
au niPM