eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Mungu mkubwa
AsanteeeView attachment 612297Asubuhi njema makapuku wote
Pamoja sana jagoodAsante sana shululu, asubuhi njema na kwako pia
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Asante kwa magazeti
Pamoja sana mkuuAsanteee
Waooo...nilizani ungesahau mpenzi wangu mwenyewe jamaniTangazo la Mpendwa Wangu. Limelipiwa
Unakumbuka wakati wa kipengele cha historia, mpendwa wangu ambaye pia ni mpenzi wangu husna muba aliomba nyimbo ya Lucky Dube, mfalme wa reggae barani africa, basi ninakatisha matangazo ya moja kwa moja ili kupata tangazo la mpendwa wangu ambalo limelipiwa na utalisikiza bure bin free
Hatukinao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muziki wa Mdhamini: Promota Hatukinao
Unamkumbuka yule promota aliyeimbwa na Wagosi wa Kaya, basi usimlinganishe na mdhamini wa Orugambo, huyu ni aunty yangu ninayempenda maana anapendwa na mjomba wangu pedeshee mnayemjua. Hebu tuburudike pamoja