Makapuku Forum

Muziki: Juma La Kicongo

Bamitambo banatestiwa dii, yeah maana mutu ana makuta hadi papa Lee empire akakimbia jiji. Si munamujua mujomba yangu ambaye imebidi ajisalimishe nje ya mji kutokana na timbwiri la aunty yangu. Nakusalimia sana Kapuku mwenzangu na kukwambia kwamba jana ilikuwa siku si nzui sana upande wangu maana Mwalimu Nyerere alikufa na huo mwaka ndo nilikuwa namaliz shule hatukufanya graduation hivyo sina hata picha moja ya ukumbusho. Siku serikali ikianzisha msako wa wasio na picha za graduation, nitatumbuliwa maana hii ya umri ninaweza kuikwepa.

Muziki sasa, wiki hii yote tuvumiliane tu maana nitapandisha sana mamiziki ya Kicongo na kama unategemea kutakuwa na details zozote za unga wa Kongo sahau maana hapa muziki tu hamu zako hazitatatuliwa hapa.\
Tuwe na wiki njema Makapuku wenzangu na ninawashukuru wote ambao wakati natest mitambo mmeona kitu kisichojulikana. Nawapenda sana

 
Asante dj Obe kwa music
bora kabisa
 
Tunakupenda pia binamu
Barukutu njema
 
Ngoja nkueleweshe shemela,
mm na Shunie tunaitana mke mweee so hata waume zetu ambao ni shululu na Lee Empire huwa wanaitana mme mweee so kwa vle ww ni mdg wa Lee ucshangae kuitwa mme mweeee
Kuwa serious mkuu mm shunie shem langu siwezi jifananisha na bro kwake make heshima wanasema ifate mkondo wake
sitaki mambo ya hainaga ushemeji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…