Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaan mjue hii avatar ya baba d nikitaka kumjibu mtu najisahau namuona Baba D huyu hapa kuna najisahau kama I'd yangu nahisi labda nimehuck ya baba d
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hata mie inanchanganya, wakat mwingine najua ni lee, mwanzon ndio kabisa nilikiwa najua ni lee, mpaka unapoandika maka, ndio najua ni wewe
 
Back
Top Bottom