Nimetoa mfano anakuja wa kike kingine halaf shemela nimekumbuka jana nilikukuta jukwaa la ujasiriamali kwenye uzi wa forex ulimuongelea ndugu yako sijui alitapeliwa mill 20 na D9
ulisema anasema anaziona pesa zake kwenye wallet nilicheka kama mazuri jaman nilishindwa tu kuuliza kwenye uzi wa watu anazionaje sasa