Morning ShululuMorning all kapuku
Morning mwifwaMorning Kapuku
Na wewe pia Mkuu shululu.View attachment 607487Asubuhi njema wadau
Tubarikiwe sote mkuu Shululu siku njema kwakoAsante kwa chakula cha roho mama mchungaji, ubarikiwe sana
Morning za uzimaMorning all kapuku
Asante sanaTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa moneytalk
Tumosaaa nakupeendajee we kiumbee shukraniiAmina tusubirie msimu wa tano
Bad newz kuna nyumba zinaungua huko mbeya mkuu wa wilaya kaamrisha kuchomwa kwa nyumba hiyo ni kwa wale waliojenga karibu na eneo la hifathi

HifathiBad newz kuna nyumba zinaungua huko mbeya mkuu wa wilaya kaamrisha kuchomwa kwa nyumba hiyo ni kwa wale waliojenga karibu na eneo la hifathi

Ewaaaaaa lete na wewe vitu sio unalalamika hamna anayelipwa humu wala kulipiwa bundle

Uwe unaitupiaLee eeh je wajua tuirudishe bwana..
Huyu wa mtandaoni shem weken wa kwenu yule na miguu yake kama mchimba mchanga
