Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimetoa mfano anakuja wa kike kingine halaf shemela nimekumbuka jana nilikukuta jukwaa la ujasiriamali kwenye uzi wa forex ulimuongelea ndugu yako sijui alitapeliwa mill 20 na D9 unasema anasema anaziona kwenye wallet nilicheka kama mazuri jaman nilishindwa tu kuuliza kwenye uzi wa watu anazionaje sasa


Tufumbuane macho jamani, maana nataka nijitose kwenye forex na mie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom