Sasa hili limezidi
PamojaAmen !!!
Tubarikiwe sote ndugu yangu Mungu wetu ni wa utaratibu anatupenda sana ametupa LEO kwa kusudi tumshukuruAsante kwa sala ya asubuhi mama mchungaji
Mungu akubariki sana
Karibu mkuuAsante, nawe pia siku njema
Mungu yu mwema sanaNatumaini mwenyezi Mungu ametuamsha salama kabisa
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela shunie
Karibu mkuuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa shemela shunie
Na wewe pia.Asubuhi njema makapuku wote
Morning za uzimaMorning Kapuku
Leo messi kaonesha ubora kwenye timu ya taifa
Mungu ni mwema.Morning za uzima