Makapuku Forum

HaHahaaa.

Mtoto wa kanjibahi..


Yuko wapi siku hizi?
 
Dah.. ulivyoniita bablai umenikumbusha jamaa mmoja tena humu humu kf alikuwa anapenda kuniita bablai..

We acha tu, na mie nshapata cha kuwahadithia wajukuu..

Mimba stres zake sio poa, nakumbuka mimba ya huyu mwanangu nilikuwa cha 6, halaf kibaya zaid zilikuja 2 kwa mpigo, arifu full stress kitabu hakiendeki, unajua tena maPCM na stress

Kutoa mimba hapana, hii ilichangia nkapata mtoto kwa kukataa kutoa mimba zote 2. Ila yule mmoja alikuja kuniambia imetoka yenyewe, kwa kipindi kile niliona afadhali kwa mkasa nilionao, hata sikutaka kumjaji sana.
Mpaka ye akajishtukia eti mbona mimba imetoka halaf sioneshi kuumizwa.. kumbe hakujua nyuma ya pazia nina msala mwingine
 
Daah! Pole sana Arfuu..

Ndio pata potea za ujana tuu bablai.
 
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.

Tunakuja Mbele zako tukikukabidhi siku ya leo ya Jumatano 11 Oktoba 2017 ikawe njema na ya kukupendeza.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosea.
Tuimarishe ili tukupende,tukuheshimu na kuishi maisha ya kukupendeza wewe tu.
Tunaikabidhi Nchi yetu iwe na Amani.
Tunazikabidhi Familia zetu zidumishe Upendo na Mshikamano.
Tunawakabidhi wagonjwa na wenye shida mbalimbali majumbani na mahospitalini Baba ukawaponye miili na roho pia.
Baba wasafiri wote majini,nchi kavu,angani ukawe nao waende na kirudi salama.Na wanaoacha familia Baba mwema zikawe salama.
Watoto wetu popote walipo makazini na mashuleni ukawasimamie wakawe vichwa si mikia wafanye mambo yote kwa ufanisi.
Baba Mungu tunazikataa kazi zote za shetani zisipate nafasi katika maisha yetu tunazivunja katika jina la Yesu tunamwaga damu ya Yesu ikatakase kila pando na kuling'oa Mfalme wa Amani.
Tunakabidhi kazi zote za mikono yetu zikapate kibali mbele yako tuingiapo na kutoka utubariki.
Baba Asante kwa Matendo yako Makuu yasiyo na mwisho,tunauona ukuu wako siku zote za maisha yetu tunasema Asante Baba na tunaomba uzidi kutuimarisha imani zetu zipande kuwa viwango vya juu ili tuweze kushudia matendo yako siku hadi siku.Roho Mtakatifu tutie nguvu.
Nakushukuru maana utatenda yote sawa na mapenzi yako
Katika jina la Yesu naomba naamini na nashukuru Amen


SIKU NJEMA WAPENDWA
 
Ameni mama mchungaji

Asante kwa neno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…