Mshikaji wewe jana si ulitukimbia ukagoma kutuambia K kwa nini inapendwa hivo au wewe fizikia huoni wanavopenda kuitumiaOle wenu mjishaue tena kujifanya mnazijua k kuliko wenzenu
Ntawamwagia upupu humu ohooo yaoneeee kwaanzaaaa vibabu gagula nyiee[emoji48] [emoji48] [emoji84] [emoji84]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] na ukata wote huuHahahahah na kweli hayatauzika ..nani wa kuyanunuaa?
Jamaa kapeleka milion 400 wamekataa eti wanataka m 900[emoji1] [emoji1] [emoji1] na ukata wote huu
Nawe pia kapuku muheshimikaView attachment 606060Asubuhi njema wadau
[emoji15] [emoji87]Wacha nilale sasa
Kalala kp[emoji6]Umelala kazini ??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji125] [emoji125]Kalala kp[emoji6]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapana chezea sizonjeImeruka kweli[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]....nimeamka salama, asante kwa kuuliza. Sijui wewe.
Uwe na siku njema
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]Karibu mshikaji
Kwani fizikia ndio kitu gaanii????Mshikaji wewe jana si ulitukimbia ukagoma kutuambia K kwa nini inapendwa hivo au wewe fizikia huoni wanavopenda kuitumia
Hasara yao sasa[emoji4] [emoji4]Jamaa kapeleka milion 400 wamekataa eti wanataka m 900
[emoji1] [emoji1][emoji125] [emoji125]
Leo sikwenda@![emoji23] [emoji23] [emoji23]Umelala kazini ??
Nawe pia[emoji524]Baba katika jina la Yesu Kristo tunakushukuru umetuamsha salama tunalitukuza jina lako Takatifu .Asante kwa Asubuhi njema hii ya leo ya jumanne.
Tunaomba toba pale tulipoenda kinyume na mapenzi yako kwa mawazo,maneno,matendo na kutotimiza wajibu mbalimbali tusamehe Baba mwema twakusihi.
Tunajikabidhi mikononi mwako siku ya leo ikawe njema kwetu na tutende ya kukupendeza Mfalme wa Amani.
Tunaomba ponya wagonjwa majumbani na mahospitalini na wenye shida mbalimbali waguse ee Baba.
Tunaombea kazi za mikono yetu ukazibariki na zikawe baraka kwa wengine pia.
Tujalie Amani,furaha upendo na mshikamano.
Tunaomba Roho Mtakatifu asituache popote tutakapokuwa leo.
Tunawaombea wasafiri na wote wanaopitia changamoto mbalimbali Baba uwe nao na wakuone kwa namna mbalimbali.
Waliombali na familia zao watie nguvu na uzilinde familia zote.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako.
Katika jina la Yesu Kristo tunaomba na kuamini
Amen.
SIKU NJEMA WAPENDWA[emoji120]
Wenyewe wanasema imeota mbawa[emoji23] [emoji23]
Kwema tu mdauKwem huku wadau