Makapuku Forum

Yaaan ndo umeongea point chief lubrication aliizungumzia sana japo hakujua utamu na uzuri wake ...lubricants zina faida kubwa sana hasa kwenye misuguano kiswahili hiki akili za husna sijui wanafikiria nini ila friction na lubricants vina uhusiano mkubwa
 
Umeona yaan mpaka wale wa rika zote watakuulizia mbona na uzur wa vilaza si wanasimuliana ??
 
Tena saana.. ili friction iwe salama na nzur, lazimaa friction na lubricant viwe together as 1..

Let say friction(f) is directly propotional to lubricant(L)

Mathematicaly
F∝L....1

Remove proportionality sign equation 1 become
F=KL


umeona mahusiano ya friction lubricant na K eehh
 
Chief ebhu kula sato bili kwangu ....na uzuri ulipo wenyewe wana natural lubricants


Sasa kazi ni kwako au yale maswali ya kuprove huyapendagi ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…