makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,441
- 108,486
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha nikate mbuno mie, we ulidhani mie mshinda ofisini natumikishwa au ni mgonga mawe nin[emoji23] [emoji23]Ha ahahhahahaha, ndiyo maana unaweza kufanya unayofanya
Poa, mie namtegea aamke nizichangamshe cells, ziwe active zaidiNgoja niendelee kulala sasa. Hii ndoto imeniamsha
We lala tu mkuu, mie ndio kwanza nmekurupukaNgoja niendelee kulala sasa. Hii ndoto imeniamsha
We lala tu mkuu, mie ndio kwanza nmekurupuka
Mkuu unataka kuniambia na utu uzima huu, sijui kama nimekurupuka, nmeamshwa au nimeshituka..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Umekurupuka, umeamshwa au umestuka?
Good morning kapuku'
Unbeliavable fact zinawajia
Morning LeeGood morning kapuku'
Unbeliavable fact zinawajia
Nawe pia ubarikiwe mpendwa![emoji524]Zaburi 130
1 Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
2 Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
3 BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
4 Lakini kwako kuna msamaha, Ili Wewe uogopwe.
Jpili njema kwetu sote Mbarikiwe[emoji120]