Jamaan nimekunywa mo orange leo labda kama ina kileviNamjua sana shemela wangu huyu
Na kwako pia shemelaUsiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
Hakuna mtoto hapa mm sijanywa pombe jamanUjue shemela wangu sisi ni watu wazima
Hii itakuwa Heineken tu
Binamu yangu mieMuziki wa Mdhamini: Tambo Sio Kitambi
Usiku mnene ndo huu na ninakuletea ombi la mdhamini, aunty yangu Shunie anayemvumilia anko wangu lee empire na haachi kumtumia hili songi nasi tuburudike nalo. Bado nipo sijarudi napotakiwa kuwa maana shoo zetu ndo zimeanza
Hapana jamanhiyo kitu sijanywa mda ujue mpaka taste yake nimeisahau
Kipaji cha kuact me kwangu hakipo kabisa jaman shemela nitajidanganya mwisho wa siku nitaumbuka
Teh teh teh.. wanawake wote hawa mie nikatumie geishaNa kwako pia maka kumbatia mto na msalimie geisha
.....huwa haidanganyi, sio kwa kukazana hivyo anavyofanya. Au yuko kwenye harusi?
Shukrani jirani...Nawe pia jirani
Binamu sijanywa pombe niamini....basi tufanye umekunywa Azam painapo maana ina ladha ya Heineken
Jirani mpe habari shunie vipusa vinavyoshukaga na kuingia humu kwangu..
Unapenda vyura eeenhTeh teh teh.. wanawake wote hawa mie nikatumie geisha.. mie ni masikini wa pesa ila sio papuchi.. kukumbatia mto ni hiari yangu.. mara kwa mara napata mialiko ya kuikumbatia mizigo.. tena mizigo hasa(in kipozeoz voice)
Kwani mnaishi woteJirani mpe habari shunie vipusa vinavyoshukaga na kuingia humu kwangu..
Nawe pia jirani.. kukuruka na tumosa.. saka watoto jirani.. mtoto mmoja sio mtoto huyo huyo wachawi wanamtaka, huyo huyo ajali zinamska, ushoga, maradhi, madawa ya kulevya.. huoni mwenzio timu nzima na sub plus benchi la ufundi..Usiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
Sina haja ya kukumbatia mie shunie..Veep maka si hana mke atakumbatia ninii sasa
Aahh... Shunie huyo.Muziki wa Mdhamini: Tambo Sio Kitambi
Usiku mnene ndo huu na ninakuletea ombi la mdhamini, aunty yangu Shunie anayemvumilia anko wangu lee empire na haachi kumtumia hili songi nasi tuburudike nalo. Bado nipo sijarudi napotakiwa kuwa maana shoo zetu ndo zimeanza
Nawe pia jirani.. kukuruka na tumosa.. saka watoto jirani.. mtoto mmoja sio mtoto huyo huyo wachawi wanamtaka, huyo huyo ajali zinamska, ushoga, maradhi, madawa ya kulevya.. huoni mwenzio timu nzima na sub plus benchi la ufundi..
asante binamu unajua venye tunakupenda na anko wako