Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,521 Shunie said: Ameen mama yangu umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi Click to expand... Mke mweee mambo
Shunie said: Ameen mama yangu umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi Click to expand... Mke mweee mambo
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,522 Shunie said: Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda Click to expand...
Shunie said: Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda Click to expand...
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Sep 29, 2017 #283,523 husna muba said: LEO KATIKA HISTORIA Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 93. Click to expand...
husna muba said: LEO KATIKA HISTORIA Tarehe 29 Septemba ni siku ya 272 ya mwaka (ya 273 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 93. Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,524 Transcend said: Nikuagizie nini? Click to expand... Hapana asante sana
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,525 shululu said: Click to expand... Shikamooo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,526 mzeewakungoa said: Mjukuu wa mimi!!! Click to expand... Shikamoo babu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,527 Tumosa said: Mke mweee mambo Click to expand... Poa mke mwee za wewe mama jj wa insta
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,528 mzeewakungoa said: Mjukuu wa mimi!!! Click to expand... Babuuu shikamoooo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,529 Tumosa said: Click to expand... Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo uf ipooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa
Tumosa said: Click to expand... Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo uf ipooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Sep 29, 2017 #283,530 Tumosa said: Babuuu shikamoooo Click to expand... Marhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe?
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Sep 29, 2017 #283,531 husna muba said: 1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978 alizaliwa Click to expand...
husna muba said: 1920 - Peter Mitchell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1978 alizaliwa Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,532 Obe said: Click to expand... Binamu heshima yako
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,533 Shunie said: Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo ufi pooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa Click to expand... alichokuwa anakitafuta kakipata
Shunie said: Kweli mke mwee magazeti yapo leo kwenye historia ipooo ufi pooo muziki upooo sala zipooo yaan mambo ni yale yale hakuna kilichobadirika kabisa Click to expand... alichokuwa anakitafuta kakipata
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Sep 29, 2017 #283,534 Shunie said: Shikamoo babu Click to expand... Marhabaa mjukuu wangu.... Jambo wewe?
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,282 Reaction score 35,652 Sep 29, 2017 #283,535 husna muba said: 1942 - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza anazaliwa Click to expand...
husna muba said: 1942 - Ian McShane, mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza anazaliwa Click to expand...
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 29, 2017 #283,536 mzeewakungoa said: Marhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe? Click to expand... Cjambo mm pole na mihangaiko
mzeewakungoa said: Marhabaa mjukuu mwee.... Jambo wewe? Click to expand... Cjambo mm pole na mihangaiko
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,537 Tumosa said: Shikamooo Click to expand... Ewaaaaaa huyo huyo ndio wa kumpa shikamoo mke mwee
mzeewakungoa JF-Expert Member Joined Nov 26, 2016 Posts 4,969 Reaction score 13,920 Sep 29, 2017 #283,538 Shunie said: Poa mke mwee za wewe mama jj wa insta Click to expand... Mhh
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Sep 29, 2017 #283,539 Obe said: Click to expand... Mkuu shikamoo
Transcend JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 20,553 Reaction score 63,058 Sep 29, 2017 #283,540 Shunie said: Hapana asante sana Click to expand... Woiii... Nakuagizia hata maji mimi