Si mbaya, neno samahan n ahsante ni madogo sana ila thamani yake ni kubwa.. kama mumeo alikosea ni vizur kuomba msamaha kwa niaba yake. Hivyo ndivyo tunavyopaswa kuishi, kukubali kosa na kuomba radhi inaonesha jinsi gani hujapendezwa na ulichotenda..