...lakini seems Samatta anawatu wazuri wanamshauri kuhusu maisha yake ya mpira, Congo alikuwa anatengeneza hela nzuri na sasa anatengeneza nzuri zaidi na bado hatujamsikia akiwadropped kwenye kikosi na skendo za ajabu, kwangu namuona anaishi kiprofessional kabisa na si ajabu muda si mrefu tukaanza kumuona kwenye ligi kubwa kubwa dunia ya soka
Muangalie hapa, utagundua kuwa anajua anafanya nini.