Mheshimiwa SPIKA nashukuru kwa kunipa
nafasi na mimi niweze kuuliza swali kwa
mheshimiwa WAZIRI WA MICHEZO,
Tumeshuhudia CHURA WA SNURA akifungiwa
kwa kosa la KURUKARUKA bila utaratibu, Je
vipi kuhusu VYURA WA JANGWANI
WANAOBEBWA bila utaratibu??!! Tafadhali
naomba majibu ya kurizisha, ahsante...!!!