Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Muziki: Wiki Njema
Sina shaka na hata kabla sijalisema hili ni lazima ujue salamu ni jambo la kiungwana na ndiyo maana ninakusalimia Jumapili hii nikijiaminisha kabisa pasi na shaka ulikuwa na wiki njema na unajiandaa na wiki ya kazi. Wapo baadhi yetu hatuna cha wikend wala weekday ni mwendo wa kazi tu. Si huwa wanasema hapa kazi tu.
Jumapili huwa sina maneno mengi kwenye kipengele hiki, na zaidi huwa tunajikumbusha na nyimbo za zamani japo si sana na tunafurahi pamoja.
Leo tupo kwa majirani zetu hapa, ni majirani zetu tunaojiraniana nao. Nikutakie wiki njema kabisa kapuku mwenzangu mheshimika