Ha hahahaha, mkongo yupo, kibali cha uimbaji kilipoisha akaomba cha uchezaji, kasajiriwa na Yanga sasa hii timu ina changamoto ya kipesa, bundle linasumbua. labda kwa vile Manji karudi tutamuona tena, au itabidi abadili awe importer wa lile vumbi la Kongo