Makapuku Forum

Asantee
 
KUZALIWA

1849 - Mwanasaikolojia wa Urusi, Ivan Pavlov.
Mpendwa wa binamu obe ...mbona hii kama umeenda chaka kidogo ...kumbukumbu zinaonesha September 26 au mm ndo nakosea au umefata ile system ya zamani nikimanisha old scale (O.S)

Anyway twende sawa




Ivan pavlov mwanasaikolojia kuwah kutokea katika dunia hii huku Urusi wakijivunia kuwa na kumbukumbu za kichwa hiki katika maktaba zao make kama sisi tunafaidika je wao wanajionajeee....

Pavlov alitokea katika familia ya dini ila yeye akaona sayansi ndo kila kitu kwake

Chuo cha st Petersburg wanajivunia kuwa na history na mtu huyu kwani aliwahi kuwepo hapo katika idara ya physics na hesabu na alikuwa mbobezi katika natural science nikimanisha sayansi pure kabisa

Wengi tunamjua hasa kwa zile theory zake 3 muhimu ila wengine wanazifanya kuwa moja ya classical conditioning. ..ila zipo nyingine kama Transmarginal inhibition na behavioral modifications. ..

Kwa kukumbushia ile ya classical conditioning ndo ile aliyofanya na msosi pamoja na mbwa ...usisahau na time hapa form 3 wengi mnakumbuka

Kwenye theory yake alipanga mda maalumu wa kumpa mbwa msosi kila siku ...namaanisha exactly time mfano kama saa 7 kamili bhas hachelewiii....alifanya hivo kwa mda ...mbwa alizoea na mda ulipokuwa ukifika anafanya salvation ....akimanisha anataka kula ...
 
Labda nilikoseaa


Asante kwa mapicha pichaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…