Amen mtumishi[emoji524] Enyi wazao wa nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Mana kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake
Mtu mwema katika njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya [emoji524]
MATHAYO 12:34-35
MUANGALIE NA MNAYONENA MDOMONI MDOMO HUUMBA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWW SANA [emoji7] [emoji120]
Habari ndio hiyoKwahiyo ndio kusema omog bye bye simba washaanza drama za makocha
Asante kwa kuyapitia shemela wanguShemela wangu mie asantee
Uhali gani shemelaShemela wangu mie asantee
Wanataka kutuchanganya sasa hivi tuanze kufungwa fungwaHabari ndio hiyo
[emoji120]Amen mtumishi
Nipo poa shemela wangu hofu kwakoUhali gani shemela
Ila kocha kapwaya kabisa shemelaWanataka kutuchanganya sasa hivi tuanze kufungwa fungwa
Omog kapwaya bora hata mayanja ujue halaf sijui walitumia kigezo gani kumleta huyo omog wangemuacha tu mayanja peke yakeIla kocha kapwaya kabisa shemela
Kweli mayanja alikuwa vizuri sana, kuliko huyu omogiOmog kapwaya bora hata mayanja ujue halaf sijui walitumia kigezo gani kumleta huyo omog wangemuacha tu mayanja peke yake
Mimi mzima kabisa shemelaNipo poa shemela wangu hofu kwako
Ndio mana anapigwa na kina okwi hukoKweli mayanja alikuwa vizuri sana, kuliko huyu omogi
Amin[emoji524] Enyi wazao wa nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Mana kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake
Mtu mwema katika njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya [emoji524]
MATHAYO 12:34-35
MUANGALIE NA MNAYONENA MDOMONI MDOMO HUUMBA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWW SANA [emoji7] [emoji120]
AsanteeeeHabari za kuamka makapuku naona watu mitima yao wakifanya yao kwa raha zao kabisaa
Hapana chezea makapuku sasa kaa tayari hivi punde nakuletea "LEO KATIKA HISTORIA"
Asantee mkuuView attachment 587856Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho, nawatakieni wote siku njema
Wahenga bwana[emoji23]Wahenga hawakukosea waliposema mapenzi ni upofu
Alafuu hii avatar inanichanganyaWahenga bwana[emoji23]
Polee utazoea tuAlafuu hii avatar inanichanganya
Pamoja sana mkuu Lee empireAsantee mkuu