Jamani... Tunaambiwa tukiomba tukumbuke kushukuru pia...asanteni wakuu.. Nimevuka malengo kwa leo. Mlale salama wakulala mapema... Wale w late night mkesha mwema... Kesho nitawafanyia wake up call woote. G9t
Nilishawazoea tangu zamani walikuwa full dharau tafuta thread zangu kwenye post # 3 chini kabisa pale kuna link humo utakuta link za thread zangu zote full madharau
.......,......................................