Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Nimesema sina mimba bali nlikua nakujaribu kumbe hujui kuchukua hatua hata ya kuuliza ka mwanaume,et unaniaga kwaheri bibie..Mi sikutaki kama ndo uko hiviMwambie awaombe msamaha mashem na ma wifi zake kwa tukio lililojitokeza.
Shost mhurimie jamani, punguza ukaliNimesema sina mimba bali nlikua nakujaribu kumbe hujui kuchukua hatua hata ya kuuliza ka mwanaume,et unaniaga kwaheri bibie..Mi sikutaki kama ndo uko hivi
Miss you😱😱😱😱😱
Inasemekana aggyjay ana mimba ya youngblood sasa ndo EMMYGUY kamkataa huku bado anampenda!Naona kimenuka humu
Mchungaj mi sikufungishwa ndoa na huyu msukuma...Na tabia za kibabe sipendi..Apite mbaliEmmy + Aggy mje ofisini kwangu tuweke mambo sawa Mungu wetu hapendi kuachana
youngblood ni mfitinishi sana. Hapo najua roho yake imefurahia kuona watu wanaachana humu.Inasemekana aggyjay ana mimba ya youngblood sasa ndo EMMYGUY kamkataa huku bado anaipenda!
Pia EMMYGUY anaamini kuwa mimba sio yake wala ya youngblood inaweza kuwa ni ya mtu mwingine kabisaaa
Pamoja na hayo uje tu uwe mtiiMchungaj mi sikufungishwa ndoa na huyu msukuma...Na tabia za kibabe sipendi..Apite mbali
Mtafute kwanza umpe darasa la mapenzi,mi siendi kishambashambaPamoja na hayo uje tu uwe mtii
Hata mbwa akila chakula chako hata kung'ata sembuse wewe+emmy mlifanya mengi na mara nyingi, mkikumbuka kimoja tu mtasameheana
Au unitafute.Pole sana kaka, siku nyingine ukimpata mwingine mimba iwe ya kwanza
Somo limemwingia kumbe Youngblood alishatangaza kuwa uko kwake mnachimba mihogo, ci wajua wivu jamaa aliumia sana, lakini nimemwelesha kuwa ni uzushi na Emmy yuko tayari urudi home dadaMtafute kwanza umpe darasa la mapenzi,mi siendi kishambashamba
dada jaman c urudi nyumban mwenzako amaiaSomo limemwingia kumbe Youngblood alishatangaza kuwa uko kwake mnachimba mihogo, ci wajua wivu jamaa aliumia sana, lakini nimemwelesha kuwa ni uzushi na Emmy yuko tayari urudi home dada
Aggy ana ujauzito wangu.Naona kimenuka humu
Hahahadada jaman c urudi nyumban mwenzako amaia
Anatafuta kiki ya kunirudia ila nishamuona wa niniWife nashukuru kwa kuliona hilo maana juzi alinituhumu vibaya sana kati yangu na Patience123 ila still akashindwa thibitisha..
Aseme mwenyeweSomo limemwingia kumbe Youngblood alishatangaza kuwa uko kwake mnachimba mihogo, ci wajua wivu jamaa aliumia sana, lakini nimemwelesha kuwa ni uzushi na Emmy yuko tayari urudi home dada
Dogo ananipa raha sana.Hahaha
,cc
Youngblood
He!!???kumbe unachepuka?Aggy ana ujauzito wangu.