yap.... Sangara kwa wingi.Ahaaaaaa sema ukweliii ??
Inachangamsha akili
teh tah teh
Babu njoo hukuu kule tunachafua uzi wa watuuIla usisahau kuchukua ukwaju. Leo nahitaji juice ya ukwaju
Hii inanifaa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hii inanifaa
Wakati huo nasoma twition ya fiziksi, mwalimu alipenda kuutaja huu mquotte sana kila wakati alipotoa swali gumu kama home work
Kwema kakaMorning T
Nashukuru Mungu nimeweza kutimiza ahadi nimeshakutumia no ya Mh,naomba Mungu akapate kufanya wepes upate sawa sawa na haja ya moyo wako,[emoji120]Ahsante sana mkuu Mungu akubariki
Munyuku nengege.
Kama kweli nipe jina spesheliii
Unajitoa ufahamu eehWapi hapo tena?
Faka miss you[emoji8] [emoji8]Lunch time.
Amina ubarikiwe sana sanaa sanaaaa mkuuNashukuru Mungu nimeweza kutimiza ahadi nimeshakutumia no ya Mh,naomba Mungu akapate kufanya wepes upate sawa sawa na haja ya moyo wako,[emoji120]
Yoooooo maweeeeeee......si bitoke ??Munyuku nengege.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yoooooo maweeeeeee......si bitoke ??