Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Acha ukali jaman mke mwee hawa wa kikeNi wakiume bana kwani hujaona picha nimeiweka juu hko
Acha ukali jaman mke mwee hawa wa kikeNi wakiume bana kwani hujaona picha nimeiweka juu hko
Najua mke mweeeEwaaaaa kukulwa na mtu unayempenda si unajua inavyokuwa![]()
Nimecheka ata likes sijampa ...kashabugiaa savanahBaba D njo umsikie
Ooooh ngojaUmmeipotezea katikat
Safi sana mshkaji wanguI will be responsible for my actions, maana siwezi muacha, tutalea Kwa Hali yoyote ile
Za kuongeza wa piliAhahhh zimefanyaje
Mimi natania tu![]()
![]()
![]()
hongera sana Bailly5
Sijachochea shemelaShemela umeanza ujue na uchochezi wako
Thanks mshikaji wanguSafi sana mshkaji wangu
Yaan acha tu shemela mbio sio za Tanzania hiiZa kuongeza wa pili
Wewe huyo
Mchochezi no 1Sijachochea shemela
Inaonekana hivyoYaan acha tu shemela mbio sio za Tanzania hii
Kwa lipi hasaTutake radhi mke mwee ujue tutawashtaki
Kati ytu mm na ww nani mzazi waoAcha ukali jaman mke mwee hawa wa kike