Makapuku Forum

Inatuachia maswali mengi sana ila kwa haraka haraka ni kwamba hatuko makini katika utendaji wetu.
Mengi sana hasa swali kubwa ni je, hiyo ngao imeandikwa lini hilo neno "sheild"? Kama ni siku za nyuma basi haikukaguliwa!? Kama ilikaguliwa je hao waliokagua kiingereza kimewapiga chenga kabisa!?


Tiefef wajiangalie raisi mpya anaingia anaboronga kwenye hata vitu vidogo namna hii anatuacha na maulizo mengi
 
Vyeti vikaguliwe
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…