Makapuku Forum

Muziki: Tunatest Mitambo

Simba ndo keshafanya yake, kuna mwenye swali? Usione alama ya kiulizo ukadhani ni swali, alama nyingine humaanisha kitulizo na huhitaji kujibu.

Na ukimya wangu si kwamba siwakumbuki wadau wote humu, nawahamu kwa sana na huwa ninasoma kila kitu maana sitaki kupoteza upako unaopatikana humu. Well, natest tu mitambo maaana kuna mengi yametokea na mengine wayajua na machache huyajui. Tuko pamoja sana

 
Binamu barikiwa sana jaman
 
Sawa mtaasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…