Makapuku Forum

Leo katika historia

1973 - Bunge la Chile lapiga kura ya kutokuwa na imani na Rais wa nchi hiyo, Salvador Allende.

Bunge liliadhimia Rais ajiuzulu ili kupisha uchaguzi mpya, vinginevyo wangetumia nguvu kumuondoa.
aliingia madarakani mwaka1970 akafa miaka mitatu baadae

Alijiua mwenyewe
 
Leo katika Historia:

Haina la ziada...... Jina langu ni Jimena Jimenes....
Kwa udhamini mnono wa Chia seeds sina la ziada!!!...
Nawatakia siku njema na furaha tele

Jipatie paketi yako sasa kwa bei ya shilingi 10,000/=
Asante pacha kwa Leo katika historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…