Nilishawazoea tangu zamani walikuwa full dharau tafuta thread zangu kwenye post # 3 chini kabisa pale kuna link humo utakuta link za thread zangu zote full madharau
.......,......................................
Ukituma tu post ya kuomba ushauri wa mapenzi utasikua una miaka mingapi au soma kwanza au achana na mapenzi dogo
Hawa wakongwe sijui wamelaaniwa ushauri hawatoi kazi kuleta dharau tu