Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Ewaaaaaaa umeliona hilo shedyIla kwa umri wako huo wewe ni nyanya yangu..[emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app
Ewaaaaaaa umeliona hilo shedyIla kwa umri wako huo wewe ni nyanya yangu..[emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app
[emoji23][emoji23][emoji23]hii nyama hata usipoacha huwezi jutia ety...Woiiiii ile nyama ukianza huwezi acha aisee nina rafiki yangu mmoja ni muislam haswa alikua anaila kuna kipindi akaapa miungu yote hatakula tena woiiii mbona sasa hivi karudia kula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mana mwezi wa ramadhani haina wateja ujue[emoji23][emoji23][emoji23]hii nyama hata usipoacha huwezi jutia ety...
post using my macbook air using jamiiforums app
Niko vyema rafiki kipenz.... Nipe za kwakoUkoo njemaaa mzee wa kung'oa ??
Muzuri tuu.... Mjukuu mwee wangu hajambo?Nzuri mzeewakungoa, za pande hizo
Babu shikamoo
Niwekee picha yake shemelaNi shetani shemela
Juzi ilikuwa 40,leo 55, aisee, maisha yanaenda kasi sanaShemela veeep na we unabisha au
Nimeliona.Ewaaaaaaa umeliona hilo shedy
Kajina kako kanaendana na avatar.Hakuna namna ingize utu uzima raha mjue na jf inatusaidia na avatar fake tungekuwa tunakimbiana humu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23]hii nyama hata usipoacha huwezi jutia ety...
post using my macbook air using jamiiforums app
Jambo mimi sijui wewe
Shemela wa wapi wewe jaman miaka si inapanda kila mwaka jamanJuzi ilikuwa 40,leo 55, aisee, maisha yanaenda kasi sana
Yupo mzima kabisa
Kwakweli aisee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mana mwezi wa ramadhani haina wateja ujue
[emoji23][emoji23][emoji23]Niwekee picha yake shemela
Yaan umekosea ujue shedy acha tuKajina kako kanaendana na avatar.
post using my macbook air using jamiiforums app
Ukianguka je shemela[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbona mbio ndefu saana.[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]