Makapuku Forum

Yaan na nilivyo sijui kuelekeza ujitahidi tu unielewe shemela binamu obe akiweka anaweka music moja kwa moja bila link ya youtube kama ulivyoweka wewe shemela wangu naomba ukiweka uweke kama vile binamu anavyofanya
Nimekupata shemela wangu
 
Yaan na nilivyo sijui kuelekeza ujitahidi tu unielewe shemela binamu obe akiweka anaweka music moja kwa moja bila link ya youtube kama ulivyoweka wewe shemela wangu naomba ukiweka uweke kama vile binamu anavyofanya
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Mimi huwa nawashangaa watu wanaofuata barabara

Na huyu jamaa yeye halipi fidia. Yeye ni kubomoa tu
Ndo ivo
Ila siyo wote wameifuata batabara wengine barabara ndio iliyowafuata
Ila nikikatiza Kimara na kuona vifusi vya majengo duh huwa nasikitika
.....
 
Nipo Gulioni
Nimekatembelea katimu kalikofungwa mkono na Thimbwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....
Niaje mdau ...ratiba zimechange kinoma ila soon tutakuwa kama mwanzo ....

Kwanza ongera naona mnagawa doziiii mm apa nasubiria droo tu

Kwa hiyo na nyinyi tulivowapiga mkono mlikuwa kama waoo
 
Niaje mdau ...ratiba zimechange kinoma ila soon tutakuwa kama mwanzo ....

Kwanza ongera naona mnagawa doziiii mm apa nasubiria droo tu

Kwa hiyo na nyinyi tulivowapiga mkono mlikuwa kama waoo
Wala usiwaze mdau
Pole na majukumu
Hiki ni kijiwe tu cha kupeana mawili matatu hivyo kama unabanwa na majukumu piga tu kazi maana ndio kila kitu
...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…