Makapuku Forum

Leo katika Historia

1960 - Senegal yajitangazia Uhuru wake.

Neno Senegal limetokana na maneno mawili ya lugha ya Wolof ambayo ni Sunuu Gaal yakimaainisha Our Boat hivyo Wasenegal wanaamini nchi yao ni kama boti inayowasafrisha kimaisha
Kuna mto mkubwa uitwao Mto Senegal ila Mto Gambia nao umekatiza huko
......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…