Mbona shikamoo yangu hujaitikia lakini shemela halaf mashindano ya kubeba mkate na yale mapot vinahusiana nini jamanUnajua shemela, wasambaa kipindi cha miaka ya nyuma wasambaa walikuwa na mashindano ya zawadi za kubeba mikate
Shemela nimekuwa babu tenaSawa babu wa bukoba ni shemela shululu upande bukoba upande tanga usambaani
We acha tuu mdogo wangu.... Nina changamotoo si kidogoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi alimaanisha nini lakini ujue nawaza tu sipati jibu basi angekupaga hata ya kudownliad google
Usiniambie dada kumbe yupo bongo hii hii anasema kaimiss bongoMmmmh
Kwa nini tena shemela wangu jamanShemela nimekuwa babu tena
Sijui mdogo wanguUsiniambie dada kumbe yupo bongo hii hii anasema kaimiss bongo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Shikamoo shemela wangu mimi apa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila me ninavyojijua angenitumia yenyewe ningemuuliza veep kwani me studio unataka nikusafishieWe acha tuu mdogo wangu.... Nina changamotoo si kidogoo
Tikiti la TrumpLile linanijaza tumbo
Mana juzi alimwambia maka yupo tabora anakula makuku sijui wapi ya kienyeji au huyu T mpya kabadilika mpaka hakumbuki vya nyuma aliongea niniSijui mdogo wangu
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila me ninavyojijua angenitumia yenyewe ningemuuliza veep kwani me studio unataka nikusafishie
OohoooShemela jaman kichura chura kinatokea wapi jaman watu hapo tupo kwenye kwaito
Unajiskiaje shemela nikikupa shikamoo jaman naona hauitikii unashangaa tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ni vitu adimu sana usambaaniMbona shikamoo yangu hujaitikia lakini shemela halaf mashindano ya kubeba mkate na yale mapot vinahusiana nini jaman
HahahaMana juzi alimwambia maka yupo tabora anakula makuku sijui wapi ya kienyeji au huyu T mpya kabadilika mpaka hakumbuki vya nyuma aliongea nini
Umeniita hivyoKwa nini tena shemela wangu jaman
Marahabaaa shemela wanguUnajiskiaje shemela nikikupa shikamoo jaman naona hauitikii unashangaa tu
Pengine ni bahati...Kwa nini niko na bahati hivi miee
Utani wako bhana..Nakupenda padiri wangu
Hahaaaa...Ni ile maji ya gold tu jaman au leo unaikana bada ya kutaka kuwa padri