Nikushukuru sana mdau na Kapuku wa nguvu, well, unaweza ukajiuliza nakushukuru kwa nini.! Usikonde, nakushukuru sababu upo na unalifanya Jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Muziki sasa, ulishajipa muda wa kutembea mtaani na ukakutana na wale myuzishani wa kitaa, hawana band ila wanaimba nyimbo unazozijua. Wengi wao hupiga gitaa na kigoma au zeze, marimba na vitu kama hivyo. Ukiwa hujawahi sio ishu maana muziki utakukuta popote ulipo na ndo tutawaangalia jamaa hawa kwa leo. Much love na tambua kabisa bila wewe jukwaa hili lisingekuwa bora lilivyo sasa