Nakumbuka nikiwa form 5 na amaizing akiwa 4 tulikwaruzana kidogo nikamtumia barua refu sana yenye dedication ya ule wimbo wa Fool Again- Westlife na yeye akanitumia dedicatin ya ule wimbo wa Sorry-Ruben Studdard...Mambo ikaenda sawa nikamtumia ile card ukiifungua inapiga mziki akafurahi mbaya mpaka leo tupo...Bila kusahau dedication.
Enzi hizo nyimbo za westlife zilitamba Sana.
Dedication-my love-westlife
Duh kweli maisha yamebadilika
Tena sana, but mvuto nao unachangia kasoro jinaPastor unatisha
Ha haaaa kweli mmetoka mbali na my wiii.Nakumbuka nikiwa form 5 na amaizing akiwa 4 tulikwaruzana kidogo nikamtumia barua refu sana yenye dedication ya ule wimbo wa Fool Again- Westlife na yeye akanitumia dedicatin ya ule wimbo wa Sorry-Ruben Studdard...Mambo ikaenda sawa nikamtumia ile card ukiifungua inapiga mziki akafurahi mbaya mpaka leo tupo...
NdioKwa Ligi Kuu Uingereza imeanza mwaka 92'..?
Ukoo wenu utakuwa wa mizimuMmmh atatuongezea shida kwenye ukoo
Siwezi kukubali maneno yakoTena sana, but mvuto nao unachangia kasoro jina
Kumbe unaujuaUkoo wenu utakuwa wa mizimu
Back in za day my sister....Ha haaaa kweli mmetoka mbali na my wiii.
Lkn vitendo vinakumaliza,Siwezi kukubali maneno yako
AhaaaaKumbe unaujua
Kweli hii ni real love halafu watu Kama Youngblood wanataka kuharibuBack in za day my sister....
Sister youngblood hatoweza maana bado anaheshima kiasi ila yeye na EMMYGUY watafikishana pabaya....Kweli hii ni real love halafu watu Kama Youngblood wanataka kuharibu
Huyo hapati mke hadi akatweKweli hii ni real love halafu watu Kama Youngblood wanataka kuharibu
Paroko nae imani haba.Najua wew ni mrembo sana lakin siwezi oa kila mtu dear, uwe tu karibu yangu huduma muhim utapata sana tu linamo..nakupenda eee
Nawewe pia unaweza kuleta hiyo miaka ya nyuma zaidiKwa Ligi Kuu Uingereza imeanza mwaka 92'..?
mpe hifadhi pastor hutaki sadaka nini.Pastor unatisha
Kumbe na wewe umemuona eeh! Huyo kaka angu ni shiiida sanaParoko nae imani haba.
Nimeuliza tu mpendwa! wala hukuwa na sababu ya kukwazika na post yangu.Nawewe pia unaweza kuleta hiyo miaka ya nyuma zaidi