Makapuku Forum

Hujachelewa sana shemeji...ile miguu ya kuku ilinifanya nikazurura sana mpaka mtaani nikaitwa "kiguuna njia"nimeitoa huenda nikatulia nyumbani.
Oh Hallejah kweli nimeamini Mungu ni mwema kila wakati, Kila wakati Mungu ni mwema...Hii ni ishara tosha ya kurudi kwa baba mtumish na iwe kama upendavyo mama mtumish mimi nishaachia baraka zangu zote kwenu..
 
Mke mwema...Whatsap ma baby girl? Wife leo ni mwendo wa kimarekani tu hapa si unajua vile vitu nimepiga jana vipo kichwani bado...
Hahaaaa
my dear Ile kitu sio nzuri kwa afya yetu
Nadhan tuhamie kilimanjaro twist alcohol mbili tuuu

Unavipiga kama 15 hivi...



NB... Chonde Chonde..................... Noumaaaaa
 
Hahaaaa
my dear Ile kitu sio nzuri kwa afya yetu
Nadhan tuhamie kilimanjaro twist alcohol mbili tuuu

Unavipiga kama 15 hivi...



NB... Chonde Chonde..................... Noumaaaaa
Hahhahah Wife vile labda niwe naenda Bar na chibuku nivimiminie kama Tisa hivi at per.....U know warry m say....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…