Ubarikiwe sana mtumishi. Asubuhi na uwe na siku njema[emoji524] Na ya pili ndio hii Mpende jirani yako kama nafsi yako kama nafsi yako hakuna amri iliyo kuu kuliko hizi
Yule mwandishi akajibu hakika Mwalimu umesema vema ya kwamba Mungu ni mmoja wala hakuna mwingine ila yeye [emoji524]
MARKO 12:31-31
Mbarikiwe sana muwe na asubuhi njema [emoji120]
Asantee alafu nisikie unalialiaaa
Niko hapa mzee ya peremende ila kwa leo mr x sitoweka mapema
Pamoja sana mme mweeWakuuu kumekucha swalamaaaaaa. ..
Leo sitoweza kuweka vitu muhimu mapema. ..tukutane baadae
Nisipoonekana sio kwamba nimetekwa
Morning mkuuMorning