Hakika utabaki kuwa dada nikupendae sana, nakupenda sana hata hakuna mfano wake, nikuonapo moyo wangu hujaa furaha ya ajabu. Dada naomba kesho asubuhi nikupeleke kazini, saa ya lunch ntakupitia tukale pamoja, na jioni pia tutarudi wote, au wasemaje dadangu mpendwa?