[emoji3] [emoji3] [emoji3] ni mtoto wa binamu mbona mgumu kuelewa na wwBaba D hana mtoto wa kuitwa P mke mwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]binamu nimecheka sana
Haileweshi banaNdo inalewesha
Huyo P ndio wa binamu eenhKumbe atakuwa P
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Si majuzi Baba D uliwaambia umetekwa wakina shemela ulivyopotea jamaan mbona unajisahaulisha tena [emoji134]
Kweli nawaonyesha pcha hky nawaambia baba huyooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti
Ndo naingia ndani my mkeHawajambo,wamekumic jamani baba watoto
Obe ndani ya nyumba
Shemela umeniponza ujue [emoji134][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli nawaonyesha pcha hky nawaambia baba huyooo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji134] [emoji134] [emoji134] unamsingzia obe huyo utakuwa ww na kitambi chako mbonyeo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji134] [emoji134] [emoji134]D wa kiume mke mwee una nini lakinii
Binamu tutake radhi Baba D hajafikia huko jaman
Binamu obe binamu wa faida amewamis sana ila soon atarejea mambo ya kutekwa ..nimekutana nae kajituliza baada ya kutulizwa. ..
Nimevuta picha tu ya wakina jj shemela ukirudi wanavyompokea baba yao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....mama yao atampokea akiwa mtupu yaani kama juice za Naked Truth
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo binamu obe
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti