Actually nilikuwa namchokoza tuKuna watu hutakiwi kuingia kichwakichwa.....mtu km hataki kusema jinsia take ajue anataka kuchezea watu akili
Ukiona watu jinsia ya mtu ni siri
...............
nikaribishe mimi nije niassume majukumu yake leo mpaka hapo atakapoishiwa majukumuSijambo! Yupo ila kabanwa sana Leo.
We umejikomboami nishaacha kitambo, sikuhizi natumia asali
Kwenye kahawa na chai[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]Tutaweka hata chumvi..
Mi ni the blues lakini dua yangu spurs ashinde maana Chelsea hatuna tunachokitafuta tena tushapoteza kila upande.
Spurs asiposhinda
Leicester BINGWA
..................
nimekwambia nitumie namba pm hutaki, hata kunidanganya-danganya humu pia hutaki doh! life iz not fair..[emoji30]Roho yangu mbaya au nzuri?
Lakini nimefanyaje?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] hutawezanikaribishe mimi nije niassume majukumu yake leo mpaka hapo atakapoishiwa majukumu
Si Kama hivi tushapiga story baenimekwambia nitumie namba pm hutaki, hata kunidanganya-danganya humu pia hutaki doh! life iz not fair..
Hapo sasa[emoji4] [emoji4]Presidaa yuko busy anatumbua majipu
Acheni roho mbayaMi ni the blues lakini dua yangu spurs ashinde maana Chelsea hatuna tunachokitafuta tena tushapoteza kila upande.
Hahaha.Kwenye kahawa na chai[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134]
ya nini kutumia kitu kisicho na faida tena kwa gharama kubwaWe umejikomboa
Nami nataka awe bingwa lakini sitaki tumfunge spursAcheni roho mbaya
Iwe isiwe
Leicester bingwa labda kumchelewesha tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
Mweeh! kweli mbuzi akiwa mkubwa anakuwa ng'ombe[emoji15] [emoji23]Si Kama hivi tushapiga story bae
Brother naona unapiga mingo.Mweeh! kweli mbuzi akiwa mkubwa anakuwa ng'ombe[emoji15] [emoji23]
Una maono sanaaaya nini kutumia kitu kisicho na faida tena kwa gharama kubwa